Beki wa Yanga SC, Kelvin Yondan 'Makaveli' ameposti picha hii akiwa ametulia nyumbani kwake, Kigamboni mjini Dar es Salaam akitafakari maisha. Yondan amegoma kusafiri na Yanga kwenda Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia kwa sababu mkataba wake umeisha na anataka kwanza apewe mkataba mpya
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment