Bondia Sefer Seferi wa Albania akiwa amemshika miguu mpinzani wake, Muingereza Tyson Fury kumpunguza kasi baada ya kuelemewa na kipigo katika pambano lisilo la ubingwa la uzito wa juu usiku wa jana ukumbi wa Manchester Arena, zamani M.E.N Arena mjini Manchester. Seferi aligoma kuendelea na pambano raundi ya nne akibaki kwenye kona yake baada ya raundi ya tatu na Fury aliyekuwa anapigana kwa mara ya kwanza tangu Februari mwaka 2015 alipofungiwa kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu zilizopigwa marufuku michezoni akashinda kwa Technical Knockout (TKO) PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Brighton dominate ten-man Villa
-
Brighton start their season with an emphatic win at home against Europa
League winners Aston Villa, with four first-half goals.
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment