Gwiji wa Manchester United, Mfaransa Eric Cantona (kulia) katika umri wa miaka 52 akiwa Uwanja wa Old Trafford jana wakati wa mchezo wa Soccer Aid baina ya kikosi cha Dunia, World XI dhidi ya England XI. England ilishinda kwa penalti 4-3 baada ya sare ya 3-3. Mabao ya England yalifungwa na Darren Bent, nyota wa F2 Freestyle, Jeremy Lynch na Michael Owen ya kikosi cha Dunia yalifungwa na Robbie Keane, nyota wa zamani wa Man United, Juan Veron na Clarence Seedorf kabla ya matuta kuamua mshindi kipa David Seaman akimfunika Edwin Van der Sar PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mourinho says he agreed to replace Ferguson at Man Utd
-
David Moyes succeeded Sir Alex Ferguson at Old Trafford in 2013 but things
could have been so different, Jose Mourinho reveals in a new documentary.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment