Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kusawazisha dakika ya 82 ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Atletico Madrid walioangulia kwa bao la Saul Niguez dakika ya 21 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Boothroyd diagnosed with Parkinson's
-
Former Watford manager Aidy Boothroyd reveals he has Parkinson's disease.
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment