// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BABU HEYNCKES AREJEA NA MAAJABU YAKE, BAYERN YASHINDA 5-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BABU HEYNCKES AREJEA NA MAAJABU YAKE, BAYERN YASHINDA 5-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, October 15, 2017

    BABU HEYNCKES AREJEA NA MAAJABU YAKE, BAYERN YASHINDA 5-0

    Jupp Heynckes mwenye umri wa miaka 72 jana akiiongoza kwa mara ya kwanza Bayern Munich baada ya kurejea kuchukua nafasi ya Carlo Ancelotti aliyeondolewa ikishinda 5-0 dhidi ya Freiburg katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Allianz Arena. Mabao yalifungwa na Kingsley Coman, Thiago, Robert Lewandowski, Joshua Kimmich la kujifunga la Julian Schuster PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BABU HEYNCKES AREJEA NA MAAJABU YAKE, BAYERN YASHINDA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top