Mwanasoka bora wa zamani wa dunia, Ricardo Izecson dos Santos 'Kaka' akibubujikwa machozi jana kabla ya mchezo wa mwisho kuichezea timu yake, Orlando City ikifungwa 1-0 na Columbus Crew katika Ligi ya Marekani, maarufu kama MLS Uwanja wa Orlando City mjini Orlando, Florida. Kaka anaondoka Orlando baada ya kuifungia mabao 24 katika mechi 73 tangu mwaka 2014 alipojiunga nayo akitokea AC Milan, baada ya kuzichezea Sao Paulo ya kwao, Brazil na Real Madrid ya Hispania, lakini hajasema kama anastaafu moja kwa moja au atakwenda kuendelea kucheza sehemu nyingine PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool fear significant lower leg injury for Isak
-
Liverpool fear Alexander Isak has sustained a significant lower leg injury
after the striker was forced off against Tottenham on Saturday.
24 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment