Nahodha wa Inter Milan, Mauro Icardi akiwa amevua jezi kuwaonyesha mashabiki baada ya kufunga hat trick katika ushindi wa 3-2 wa Inter Milan usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza au San Siro mjini Milan. Icardi alifunga dakika za 28, 63 na 90 kwa penalti ya utata wakati mabao ya AC Milan yalifungwa na Suso dakika ya 56 na Samir Handanovic aliyejifunga dakika ya 81 katika mechi kali ya Serie A ya mahasimu wa Jiji la Milan PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hamilton hits out at 'yapping' critics after China sprint win
-
Lewis Hamilton hits out at "yapping" critics after taking his first win for
Ferrari in the sprint race at the Chinese Grand Prix.
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment