Nabil Fekir akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Lyon dakika ya 95 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Monaco usiku wa jana katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Groupama mjini Decines-Charpieu. Fekir pia alifunga bao la pili dakika ya 23, baada ya Mariano Diaz kufunga la kwanza dakika ya 11, wakati mabao ya Monaco yalifungwa na Rony Lopes dakika ya 17 na Adama Traore dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Red Bull set to replace Lawson with Tsunoda
-
Red Bull are set to drop Liam Lawson after just two races and replace him
for the Japanese Grand Prix with Yuki Tsunoda.
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment