Wachezaji wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi (kulia) na Mghana, James Kotei (kushoto) wakisikiliza kwa makini moja ya hotuba kwenye ofisi za wadhamini wakuu wa Simba, SportPesa, Oysterbay, Dar es Salaam wakati wa ziara ya timu hiyo kwa wadhamini wao hao leo asubuhi
Kutoka kulia Yussuf Mlipili, Mrundi Laudit Mavugo na Mganda Juuko Murshid
Hapa wachezaji na viongozi wa Simba wakisaini jezi maalum kwenye ofisi hizo
Wachezaji wa Simba wakati wanawasili ofisi za SportPesa
Wachezaji wa Simba wakisikiliza hotuba leo
Wachezaji wa Simba katika picha ya pamoja na viongozi wa SportPesa leo
WWE SmackDown Results: Winners, Live Grades, Reaction, Highlights Before
Backlash
-
Welcome to Bleacher Report's live coverage of WWE SmackDown on May 3. This
week's show took place in Lyon, France, which is also where Saturday's
Backlash ...
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment