Winga wa Crystal Palace, Yannick Bolasie alikuwa shujaa Uwanja wa Stadium of Light kwa kufunga hat-trick katika ushindi wa 4-1 wa The Eagles dhidi ya wenyeji, Sunderland. Bao lingine la Palace lilifungwa na Glenn Murray, wakati la Sunderland lilifungwa na Connor Wickham.
PICHA ZAIDI NENDA:
http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3034896/Sunderland-1-4-Crystal-Palace-Yannick-Bolasie-fires-quick-fire-hat-trick-submerge-Black-Cats-relegation-scrap.html#ixzz3X1yiqKU2


.png)
0 comments:
Post a Comment