Kiungo aliyekuwa majeruhi wa muda mrefu, Jack Wilshere ameanza taratibu kwa kuchezea kikosi cha Arsenal cha U21 ambacho jana kilifungwa 1-0 na Reading, bao pekee la mtoto wa Martin Keown, aitwaye Niall Keown.
Wachezaji wa kikosi cha kwanza cha The Gunners, Wilshere na Diaby (kulia) kwa sasa wanachezea timu ya vijana ili kujiweka fiti baada ya kuwa nje muda mrefu kwa sababu ya majeruhi
PICHA ZAIDI NENDA:
http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3037537/Arsenal-U21s-0-1-Reading-U21s-Jack-Wilshere-comes-captain.html#ixzz3XFrw2EYs


.png)
0 comments:
Post a Comment