• HABARI MPYA

    Saturday, April 11, 2015

    RAIS KIKWETE AKABIDHIWA UZI WA MKALI WA ZAMANI BARCA, JOHAN CRUYFF

    Nyota wa zamani wa Barcelona, Johan Cruyff (kulia) akimkabidhi jezi yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) wakati kikosi cha magwiji wa Barcelona kilipomtembelea Rais huyo Ikulu mjini Dar es Salaam leo. PICHA NA FRED MARO, Ikulu.
    Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Magwiji hao wa Barcelona leo Ikulu, Dar es Salaam. Picha ya chini, Rais Kikwete akizungumza na magwiji hao. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAIS KIKWETE AKABIDHIWA UZI WA MKALI WA ZAMANI BARCA, JOHAN CRUYFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top