• HABARI MPYA

  Monday, January 05, 2015

  YANGA SC NA POLISI KATIKA PICHA JANA AMAAN

  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 4-0.
  Beki wa Polisi akiwa amemuangusha Msuva nje kidogo ya boksi
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe (kushoto) akimtoka beki wa Polisi
  Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Polisi
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Polisi
  Beki wa Polisi akiinua mguu kuondosha mpira kwenye himaya ya Coutinho

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC NA POLISI KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top