• HABARI MPYA

  Monday, January 05, 2015

  AZAM FC NA KMKM KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR

  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar (kushoo) akimtoka beki wa KMKM katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi jana Uwa ja wa Amaan, Zanzibar. Azam FC ilishinda 1-0.
  Beki wa Azam FC, Aggrey Morris aliyeruka juu kabisa kupiga kichwa langoni mwa KMKM
  Beki wa KMKM mbele akimdhibiti mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco
  Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akimiliki mpira mbele ya kiungo wa KMKM
  John Bocco akipambana na beki wa KMKM
  Winga Mganda wa Azam FC, Brian Majwega akimtoka beki wa KMKM
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA KMKM KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top