• HABARI MPYA

  Tuesday, January 06, 2015

  SIMBA SC NA JKU KATIKA PICHA JANA AMAAN

  Mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri kulia akimtoka beki wa JKU katika mchezo wa Kundi C Kombe la Mapinduzi, Uwanja wa Amaan, Zanzibar jana. Simba SC ilishinda 1-0
  Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akimtoka mchezaji wa JKU
  Mfungaji wa bao pekee la Simba SC jana, Ramadhani Singano 'Messi' kulia akimtoka beki wa JKU
  Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akiwatoka wachezaji wa JKU
  Mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma akiupigia hesabu mpira wa juu
  Beki wa Simba SC, Hassan Kessy akipambana na beki wa JKU
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA JKU KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top