• HABARI MPYA

  Monday, January 05, 2015

  PLUIJM NA MKWASA WAKIIPIGIA HESABU AZAM FC

  Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm (kushoto) akijadiliana jambo na Msaidizi wake, Charles Boniface Mkwasa wakati wakishuhudia mchezo wa Kundi B, Kombe la Mapinduzi, kati ya Azam FC na KMKM Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam FC ilishinda 1-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PLUIJM NA MKWASA WAKIIPIGIA HESABU AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top