• HABARI MPYA

  Monday, January 05, 2015

  MWENYEKITI, MTENDAJI MKUU AZAM FC WAISHUHUDIA TIMU YAO IKIFANYA 'MAUAJI' ZANZIBAR

  Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammad (kulia) akiwa na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Saad Kawemba kushoto wakati timu yao ikimenyana na KMKM katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan Zanzibar na kushinda bao 1-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWENYEKITI, MTENDAJI MKUU AZAM FC WAISHUHUDIA TIMU YAO IKIFANYA 'MAUAJI' ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top