• HABARI MPYA

  Monday, January 05, 2015

  KOPUNOVIC AWATATHMINI YANGA SC KOMBE LA MAPINDUZI

  Kocha mpya wa Simba SC, Mserbia Goran Kopunovic (kulia) akiwa na Msaidizi wake, Suleiman Matola kushoto jukwaani Uwanja wa Amaan, Zanzibar kufuatilia mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi, kati ya Yanga SC na Polisi ya Zanzibar. Yanga SC ilishinda 4-0. Simba SC ipo Kundi C katika mashindano hayo na Jumatatu usiku itacheza mechi yake ya mwisho ya kundi dhidi ya JKU ya Zanzibar ikihitaji ushindi ili kutinga Robo Fainali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOPUNOVIC AWATATHMINI YANGA SC KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top