• HABARI MPYA

  Monday, January 05, 2015

  DI MARIA AREJEA UWANJANI NA KUIPA USHINDI MAN UNITED KOMBE LA FA

  Angel di Maria celebrates after securing United's victory with a late chipped effort in the last minute
  Winga wa Manchester United, Muargentina Angel di Maria akishangilia baada ya kuwafungia Mashetani hao Wekundu bao la pili dakika ya 89 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Yeovil Town mchezo wa Kombe la FA, Bao lingine la United lilifungwa na Ander Herrera dakika ya 64 na United imetinga Raundi ya nne ya michuano hiyo. Di Maria amerejea uwanjani baada ya kuwa nje kwa muda mrefu sababu ya majeruhi.

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2896344/Yeovil-Town-0-2-Manchester-United-Ander-Herrera-wonder-strike-sees-Louis-van-Gaal-s-advance-FA-Cup.html#ixzz3NtJLgetW 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DI MARIA AREJEA UWANJANI NA KUIPA USHINDI MAN UNITED KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top