Cesair Gandze wa Kongo (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya Frederic Bulot wa Gabon katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mataifa ya Afrika usiku wa kuamkia leo mjini Bata, Equatorial Guinea. Kongo ilishinda 1-0, bao pekee la Prince Oniangue dakika ya 48.
0 comments:
Post a Comment