• HABARI MPYA

  Monday, January 05, 2015

  KITU ALICHOFANYWA DROGBA NA 'MANDAVA' WA WATFORD

  Veteran striker Drogba shows referee Kevin Friend his ripped shirt after a tussle with one of Watford's players
  Mshambuliaji mkongwe wa Chelsea, Didier Drogba akimuonyesha refa Kevin Friend jezi yake ilivyochanwa baada ya kukumbana na wachezaji wa Watford katika mechi ya Kombe la FA Uwanja wa Stamford Bridge Jumapili. Chelsea ilishinda 3-0 na kutinga Raundi ya Nne ya michuano hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KITU ALICHOFANYWA DROGBA NA 'MANDAVA' WA WATFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top