• HABARI MPYA

  Monday, January 05, 2015

  CHELSEA YAITANDIKA WATFORD 3-0 KOMBE LA FA


  Chelsea striker Loic Remy (right) challenges Watford's Daniel Pudil (centre) for the ball on Sunday afternoon
  Mshambuliaji wa Chelsea, Loic Remy (kulia) akipambana na mchezaji wa Watford, Daniel Pudil (katikati) katika mchezo wa Kombe la FA Raundi ya Tatu Jumapili Uwanja wa Stamford Bridge. The Bluse walishinda 3-0, mabao yao yakifungwa na Remy, Willian na Kurt Zouma.

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2896267/Chelsea-3-0-Watford-Willian-Loic-Remy-Kurt-Zouma-target-Jose-Mourinho-s-reach-FA-Cup-fourth-round.html#ixzz3Ntdluakz 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAITANDIKA WATFORD 3-0 KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top