• HABARI MPYA

  Saturday, January 03, 2015

  AZAM FC NA KCCA KATIKA PICHA JANA

  Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya (kushoto) akipambana na wachezaji wa KCCA katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.
  Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akipambana na beki wa KCCA
  Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimtoka beki wa KCCA
  Kiungo wa Azam FC, Amei Kiemba akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa KCCA
  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimlamba chenga mchezaji wa KCCA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA KCCA KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top