• HABARI MPYA

  Saturday, January 03, 2015

  YANGA SC ILIVYOFUNDISHA ADABU VITOTO VYA JANG'OMBE JANA

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akimuacha chini beki wa Taifa ya Jang'ombe jana katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 4-0.
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Taifa
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe kushoto akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Taifa
  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akiwatoka mabeki wa Taifa. Msuva alifunga mabao matatu peke yake jana na akamsetia Kpah Sherman kufunga la nne
  Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho akiwatoka mabeki wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOFUNDISHA ADABU VITOTO VYA JANG'OMBE JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top