• HABARI MPYA

  Saturday, January 03, 2015

  KOPUNOVIC ALIVYOANZA KAZI SIMBS SC JANA, MTIHANI WA KWANZA LEO NA MAFUNZO

  Kocha mpya wa Simba SC, Mserbia Goran Kopunovic akiongoza mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa visiwani Zanzibar. Goran alianza kazi jana akirithi mikoba ya Mzambia, Patrick Phiri aliyetimuliwa na leo anatarajiwa kuiongoza timu hiyo katika mechi na Mafunzo Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Goran jana aliwapa wachezaji mazoezi ya mbio zaidi
  Kutoka kulia Ibrahim Hajibu, Awadh Juma na Elias Maguri
  Baadaye Goran aliwata wachezaji wa nafasi zote, makipa, mabeki, viungo na washambuliaji kuwapa mbinu za uchezaji. Hapa anazungumza na viungo
  Goran akimuelekeza kwa vitendo Awadh Juma
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOPUNOVIC ALIVYOANZA KAZI SIMBS SC JANA, MTIHANI WA KWANZA LEO NA MAFUNZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top