• HABARI MPYA

  Tuesday, March 07, 2023

  SIMBA SPORTS CLUB WANA JAMBO LAO LEO KWA MKAPA, YANGA KESHO  WENYE NCHI wako na jambo lao leo Hii kwa Mkapa...Lunyasi ya Robertinho na Triple C inamaswali ya kujibu ili kuifikia Robo fainali #cafcl msimu huu...
  WANANCHI chini ya "Prof." NABI na Mayele wao wanatazamia kuendeleza ubabe KWA MKAPA dhidi ya Bamako Hio J'tano...
  🚨Mechi kali Wiki Hii:
  Jumanne Machi 07, 2023
  SIMBA SC vs VIPERS SC
  |1:00 Usiku.
  🚨Jumatano Machi 08, 2023 
  YANGA SC vs REAL BAMAKO 
  |1:00 Usiku.
   Zote LIVE Kupitia TV3 ndani ya @startimestz.
  🔥..Usikose...
  Jiunge leo na @startimestz kwa bei ya Punguzo katika Visimbuzi vyote...
  Kisimbuzi cha Antenna Tsh 58000/= tu ama Kisimbuzi cha Dishi Tsh 79000/= tu!
  #startimessports #cafclcc #tv3Tanzania

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SPORTS CLUB WANA JAMBO LAO LEO KWA MKAPA, YANGA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top