• HABARI MPYA

  Monday, March 13, 2023

  AZAM FC YACHAPWA 1-0 NA IHEFU SC UBARUKU


  BAO pekee la kiungo Raphael Daudi Lothi dakika ya 38 limeipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Highland Estate huko Ubaruku, Mbarali mkoani Mbeya.
  Kwa ushindi huo, Ihefu SC inafikisha pointi 33 na kusogea nafasi ya sita, wakati Azam FC inabaki na pointi zake 47 nafasi ya nne baada ya wote kucheza mechi 25.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YACHAPWA 1-0 NA IHEFU SC UBARUKU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top