• HABARI MPYA

  Wednesday, February 01, 2023

  TANZANIA PRISONS YAMREJESHA KAZINI KOCHA BARES


  KLABU ya Tanzania Prisons imemtambulisha kocha Mzanzibar, Abdallah Moohamed Juma kurejea kunioa timu hiyo kocha Mkuu, akitoka kuwapa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi Mlendege ya Zanzibar.
   


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA PRISONS YAMREJESHA KAZINI KOCHA BARES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top