• HABARI MPYA

  Saturday, February 25, 2023

  COASTAL UNION YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 MKWAKWANI


  BAO pekee la kiungo Gustapha Simon dakika ya 49 limeipa Coastal Union dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  Kwa ushindi huo, Coastal Union wanafikisha pointi 25 na kusogea nafasi ya 11, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake 22 nafasi ya 14 baada ya wote kucheza mechi 24.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top