• HABARI MPYA

  Saturday, February 18, 2023

  COASTAL UNION YAICHAPA MBEYA CITY 1-0 MKWAKWANI


  BAO pekee la Vincent Abubakar dakika ya 11 limewapa wenyeji, Coastal Union ushindi wa 1-1 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  Kwa ushindi huo, Coastal Union inafikisha pointi 22 na kusogea nafasi ya 13, wakati Mbeya City inabaki na pointi zake 24 nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi 23.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAICHAPA MBEYA CITY 1-0 MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top