Mwanzo > YANGA > YANGA YAWAJIBU SPORTPESA KIKUBWA UDHAMINI WA HAIER HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA YANGA YAWAJIBU SPORTPESA KIKUBWA UDHAMINI WA HAIER KLABU ya Yanga imesistiza itaendelea na udhamini wa Kampuni ya Haier katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa sababu wadhamini wao wakuu, SportPesa hawaruhusiwi kwenye michuano hiyo. Thursday, February 02, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment