• HABARI MPYA

  Thursday, February 23, 2023

  MBEYA CITY YAWACHAPA POLISI TANZANIA 1-0 ARUSHA


  BAO pekee la Tariq Seif dakika ya nane limetosha kuipa Mbeya City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
  Kwa ushindi huo, Mbeya City inafikisha pointi 27, ingawa inabaki nafasi ya 10, wakati Polisi Tanzania inabaki na pointi zake 19 nafasi ya 15 baada ya wote kucheza mechi 24.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY YAWACHAPA POLISI TANZANIA 1-0 ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top