WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Kwa matokeo hayo katika mchezo wa 22 kwa kila timu, Mtibwa Sugar inafikisha pointi 26 na kusogea nafasi ya saba, wakati Tanzania Prisons inafikisha pointi 22 na inabaki nafasi ya 12.
0 comments:
Post a Comment