• HABARI MPYA

  Sunday, February 19, 2023

  BETIKA YASAKA WATU 100 KUSHUHUDIA SIMBA NA YANGA APRILI 16


  MTOKO wa kibingwa msimu wa 5 bado unaendelea na katika msimu huu betika tunahitaji idadi ya mabingwa 100 kuja kushuhudia mtanange wa Simba dhidi ya Yanga pale Uwanja wa Benjamin Mkapa Aprili 16. 
  Katika wiki ya kwanza ya promotion hii tulikua na droo 3 , na droo hizo tumepata jumla ya mabingwa 5 mabingwa hao ni Mariamu kutokea Chamazi, Fahame kutokea Simiyu, Clement kutokea Songea , Steven kutokea kagera na Joshua Charles kutokea Mkuranga kwahyo imebaki idadi ya mabingwa 95 ambao tunawahitaji, Mabingwa hawa wanaotokea mkoani watapata ticket za ndege kwenda na kurudi na watalala kwenye hoteli ya nyota 5 wakiwa jijini dar es salaam. 
  Kushiriki kwenye droo beti mikeka 5 kila siku na kwa kila mkeka weka dau la kwanzia 500 ya kuendelea moja kwa moja utaingia kwenye mtoko wa kibingwa, unaweza ukabeti katika ligi zozote duniani kama la liga, ligi ya uingereza , ujerumani , ligi ya ufaransa, ligi ya italia na pia mechi za ligi ya NBC. Tutakua na droo siku za tarehe 20,22,24. na katika wiki hii tunategemea kutangaza zaidi ya mabingwa 10. Tembelea www.betika.co.tz ili uweze kubeti au piga *149*16# Mtoko wa kibingwa msimu wa 5, HAINA MBAMBAMBA!
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BETIKA YASAKA WATU 100 KUSHUHUDIA SIMBA NA YANGA APRILI 16 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top