• HABARI MPYA

  Monday, February 06, 2023

  POLISI TANZANIA YAAMBULIA SARE KWA KAGERA SUGAR MOSHI


  WENYEJI, Polisi Tanzania wamelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
  Kwa matokeo hayo, Polisi Tanzania wanafikisha pointi16, ingawa wanaendelea kushika mkia kwenye ligi ya timu 16, wakati Kagera Sugar inafikisha pointi 26 na kusogea nafasi ya nane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POLISI TANZANIA YAAMBULIA SARE KWA KAGERA SUGAR MOSHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top