RAIS wa heshima wa Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji amemteua Salum Abdallah Muhene 'Try Again' kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya klabu kwa awamu nyingine.
Hatua hiyo inafuatia kufanyika uchaguzi mkuu uliomrejesha madarakani Mwenyekiti Murtaza Mangungu na Wajumbe Dk. Seif Ramadhan Muba, Asha Baraka , CPA Issa Masoud Iddi, Rodney Chiduo na Seleman Haroub.
0 comments:
Post a Comment