• HABARI MPYA

  Friday, February 24, 2023

  MAN UNITED NA BETIS, ARSENAL NA SPORTING 16 BORA EUROPA LEAGUE


  TIMU ya Manchester United itakutana na Real Betis ya Hispania katika Hatua ya 16 Bora ya UEFA Europa League, wakati Arsenal itamenyana na Sporting Lisbon ya Ureno.

  RATIBA KAMILI 16 BORA EUROPA LEAGU

  Union Berlin vs Union Saint-Gilloise 

  Sevilla vs Fenerbahce 

  Juventus vs Freiburg

  Bayer Leverkusen vs Ferencvaros 

  Sporting Lisbon vs Arsenal 

  Manchester United vs Real Betis 

  Roma vs Real Sociedad 

  Shakhtar Donetsk vs Feyenoord 

  Mechi kwanza zitachezwa Alhamisi ya Machi 9, wakati za marudiano zitafuatia Machi16, mwaka huu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED NA BETIS, ARSENAL NA SPORTING 16 BORA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top