• HABARI MPYA

  Saturday, February 18, 2023

  LIVERPOOL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 ST JAMES


  MABAO ya Darwin Nunez dakika ya 10 na Cody Gakpo dakika ya 17 yameipa Liverpool ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya leo Uwanja wa St. James' Park Jijini Newcastle.
  Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 35 katika mchezo wa 12 na kusogea nafasi ya nane, wakati Newcastle United inabaki na pointi zake 41 za mechi 23 nafasi ya nne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 ST JAMES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top