• HABARI MPYA

  Thursday, February 23, 2023

  SINGIDA BIG STARS YATOZWA FAINI MECHI NA SIMBA SC


  KLABU ya Singida Big Stars imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la kukataa kuingia kwenye chumba mahsusi cha kubadilishia nguo katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Simba SC Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA BIG STARS YATOZWA FAINI MECHI NA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top