• HABARI MPYA

  Sunday, February 19, 2023

  POLISI TANZANIA YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 MOSHI


  BAO pekee la Kelvin Kongwe Sabato dakika ya 81 limeipa Polisi Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
  Kwa ushindi huo, Polisi Tanzania inafikisha pointi 19 na kusogea ya 15, ikizidiwa pointi tatu na Tanzania Prisons baada ya wote kucheza mechi 22.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POLISI TANZANIA YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 MOSHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top