• HABARI MPYA

  Monday, February 06, 2023

  NTIBANZOKIZA AKABIDHIWA TUZO ZA FEDHA ZAKE SIMBA SC


  KIUNGO Mrundi, Saido Ntibanzokiza leo amekabidhiwa Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba mwezi Januari, mwaka huu sambamba na mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, Emirate Aluminium Profile Limited.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NTIBANZOKIZA AKABIDHIWA TUZO ZA FEDHA ZAKE SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top