• HABARI MPYA

  Sunday, February 26, 2023

  MAYWEATHER AONYESHA BADO HATARI ULINGONI


  PAMBANO la maonyesho baina ya Floyd Mayweather na nyota wa Tv wa England, Aaron Chalmers lilimaliza pasipo mshindi kutajwa baada ya wawili hao kutupiana masumbwi kwa raundi zote nane ukumbi wa O2 Arena Jijini London.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAYWEATHER AONYESHA BADO HATARI ULINGONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top