• HABARI MPYA

  Sunday, February 05, 2023

  RUVU SHOOTING YAICHAPA KMC 2-1 MOROGORO


  TIMU ya Ruvu Shooting imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
  Mabao ya Ruvu Shooting yamefungwa na William Patrick dakika ya 27 na Samson Joseph dakika ya 78, wakati la KMC limefungwa na Steve Nzigamasabo dakika ya 85 kwa penalti.
  Kwa ushindi huo, Ruvu Shooting inafikisha pointi 17 na kusogea nafasi ya 15, wakati KMC inabaki na pointi zake 23 nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi 22.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RUVU SHOOTING YAICHAPA KMC 2-1 MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top