• HABARI MPYA

  Tuesday, February 28, 2023

  WAJUMBE WAPYA WA BODI YA SIMBA SC UPANDE WA MWEKEZAJI


  RAIS wa heshima wa Simba SC, Mohamed ‘Mo’ Dewji ameteua Wajumbe wapya wanne wa Bodi chini ya Mwenyekiti, Salum Abdallah Muhene 'Try Again'.
  Hao ni Dk. Raphael Chageni, Hamza Johari, Zulfikar Chandoo na Rashid Shangazi.
  Hatua hiyo inafuatia kufanyika uchaguzi mkuu uliomrejesha madarakani Mwenyekiti Murtaza Mangungu na Wajumbe Dk. Seif Ramadhan Muba, Asha Baraka, CPA Issa Masoud Iddi, Rodney Chiduo na Seleman Haroub.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAJUMBE WAPYA WA BODI YA SIMBA SC UPANDE WA MWEKEZAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top