• HABARI MPYA

  Thursday, February 23, 2023

  MAN CITY YATOA SARE NA LEIPZIG 1-1 UJERUMANI


  WENYEJI, RB Leipzig jana wametoa sare ya kufungana bao 1-1 na Manchester City katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Red Bull Arena Jijini Leipzig nchini Ujerumani.
  Manchester City walitangulia kwa bao la dakika ya 27 la nyota Mualgeria, Riyad Mahrez kabla ya J. Gvardiol kuisawazishia Leipzig dakika ya 70. Timu hizo zitarudiana Machi 14 Uwanja wa Etihad na mshindi wa jumla atakwenda Robo Fainali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YATOA SARE NA LEIPZIG 1-1 UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top