• HABARI MPYA

  Saturday, February 25, 2023

  AZAM FC YAICHAPA KMC 1-0 CHAMAZI BAO PEKEE LA IDDI NADO


  BAO pekee la Iddi Suleiman ‘Nado’ dakika ya 52 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 47 na kurejea nafasi ya tatu, wakati KMC inabaki na pointi zake 23 nafasi ya 13 baada ya wote kucheza mechi 24.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAICHAPA KMC 1-0 CHAMAZI BAO PEKEE LA IDDI NADO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top