• HABARI MPYA

  Thursday, February 16, 2023

  CHELSEA YACHAPWA 1-0 NA BORUSSIA DORTMUND UJERUMANI


  BAO pekee la Karim Adeyemi dakika ya 63 jana liliwapa wenyeji, Borussia Dortmund ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa kwanza Hatua y 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa SIGNAL IDUNA PARK Jijini Dortmund.
  Sasa Chelsea watatakiwa kupindua meza mbele ya Borussia Dortmund Machi 7 kwenye mchezo wa marudiano Jijini London ili waende Robo Fainali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YACHAPWA 1-0 NA BORUSSIA DORTMUND UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top