BAO pekee la kiungo James Ward-Prowse dakika ya 45 limewapa Southampton ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Venue Stamford Bridge Jijini London.
Kwa ushindi huo, Southampton inafikisha pointi 18, ingawa haziwaondoi mkiani mwa Ligi Kuu, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 31 nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi 23.
0 comments:
Post a Comment