• HABARI MPYA

  Tuesday, February 07, 2023

  BETIKA YAZINDUA KAMPENI YA MTOKO WA KIBINGWA


  KAMPUNI ya Mchezo wa kubashiri  Betika wazindua rasmi Kampeni yake ya "Mtoko wa Kibingwa" kwa Msimu wa 5 Jijini Dar es salaam. 
  Akizungumza na Wanahabari Leo Februari 07,2023 Jijini Dar es salaam  Meneja wa Kampuni ya Betika Tumaini Maligana,  amesema Kampeni hiyo  imeanza rasmi leo  07,2023 na kutarajiwa kuhitimishwa rasmi April 16,2023 siku ya Derby ya Simba na yanga. 
  Hata hivyo amesema Kampeni hiyo ni Msimu wa 5  ambapo itaendesha droo yake kila wiki na kuchukua washindi 10 hadi kukamilika kwa washindi 100.
  Pia ameeleza utofauti wa Msimu wa 5 ni kuongezeka kwa  idadi kubwa ya washindi kuliko misimu iliyopita pamoja na kuwapa fursa washindi kushuhudia Mechi kubwa ya derby ya 3 Afrika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BETIKA YAZINDUA KAMPENI YA MTOKO WA KIBINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top