• HABARI MPYA

  Sunday, February 05, 2023

  HATIMAYE TASWA YAPATA UONGOZI MPYA


  CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) leo kimepata uongozi mpya katika Uchaguzi uliofanyika ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Nafasi ya Mwenyekiti imekwenda kwa Amir Mhando, Katibu Mkuu Alfred Lucas, Katibu Msaidizi Imani Makongoro, Mweka Hazina Dina Ismail na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ni Timzoo Kalugira na Nasongelya Kilinga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HATIMAYE TASWA YAPATA UONGOZI MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top